SAUTI YA KEN WALIBORA
SAUTI YA KEN WALIBORA NA EDWARD OMBUI Ukitazama kwa jicho la ndani utagundua kuwa chembechembe za tawasifu ya Ken Walibora zinajitokeza katika Siku Njema (1996), Ndoto Ya Amerika (2001), Kufa Kuzikana (2006), Ndoto Ya Almasi (2012), Kidagaa Kimemwozea (2012) na vitabu vingine vyake. Msanifu Kombo ndilo jina lake, lakini jina la kupanga la mhusika mkuu […]
SAUTI YA KEN WALIBORA Read More »